Muda wowote kutoka Sasa klabu ya Yanga inaweza kumtangaza mchezaji wao Mpya ambaye wamemsajili. Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps August 08, 2021 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Comments
Mshambuliaji wa Klabu ya Barcelona aliyemaliza mkataba wake leo amewaaga wanachama na Mashabiki wa klabu hiyo baada ya kutumika hapo kwa miaka 17 Messi ametokwa na Machozi kipindi akiongea na vyombo vya habari "amesema me nilipenda kusalia hapa ila mambo ya mikataba ndo yamekuwa changamoto ila natambua hapa ni nyumbani na itabakia kuwa nyumbani.Messi anausishwa kujiunga kunako klabu ya PSG ya Ufaransa ambayo imeanza mchakato wa kusaka saini yake. August 08, 2021 Read more
Comments
Post a Comment