Skip to main content
Mshambuliaji wa Klabu ya Barcelona aliyemaliza mkataba wake leo amewaaga wanachama na Mashabiki wa klabu hiyo baada ya kutumika hapo kwa miaka 17 Messi ametokwa na Machozi kipindi akiongea na vyombo vya habari "amesema me nilipenda kusalia hapa ila mambo ya mikataba ndo yamekuwa changamoto ila natambua hapa ni nyumbani na itabakia kuwa nyumbani.Messi anausishwa kujiunga kunako klabu ya PSG ya Ufaransa ambayo imeanza mchakato wa kusaka saini yake.
Comments
Post a Comment